Mambo ya sikukuu
...Saa hizi kuna mtu anaoga anaenda kupewa mimba.
......Saa hiz kuna mtu anaambiwa chukua bajaji nitalipa.
...Saa hiz kuna mtu anaambiwa nyooosha na njia hiyohiyo.
Ok nishaķuona
................Dk hii moja aliyopita kuna mtu anapewa nauli tu ya kurudia home, baada ya kaz ngumu
.......Saa hiz kuna mtu anaambiwa kumbe kelele zote zile unakibamia
Stay at home pasaka
🛺
Jr