Itatugharimu bilioni ngapi kuvunja mkataba wa DP World? Naona lengo hasa la habari hii kuja sasa hivi ni kutisha watu kuhusu gharama tutakazoingia tukivunja mkataba huu wa sasa.
Ilikuwa sahihi kuvunja mamikataba haya ya kinyonyaji maana hata hiyo faini yenyewe tuliyopigwa haifikii hata robo moja ya hela tunazoibiana wenyewe humu humu ndani kila mwaka. Tungeendelea na mkakati huo, tukapunguza ufisadi, tukasimamia raslimali zetu vizuri mbona tungetoboa tu?