Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
INASEMEKANA shida ya mifupa ni hii [emoji116][emoji116][emoji116] JAPO SIYO WOTE [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]we mwenyewe unapenda mifupa unaona aibu kusema[emoji23]
aisee huwapendi kweli kweli😂INASEMEKANA shida ya mifupa ni hii [emoji116][emoji116][emoji116] JAPO SIYO WOTE [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2687557
Asante sana mkuu wangu[emoji173]Unambishia mpaka Sheikh? [emoji15][emoji15][emoji15]
Halafu hiyo kauli imekutoka kinyonge sana kamanda. Ngoja angalau nikupoze na ka kitu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2687539
aisee huwapendi kweli kweli[emoji23]
this is a myth
Hakuna shida bosi [emoji1545]
@Mshana Jr
Yaani hatari,Ndoa ngumu sana siku hizi mjukuu. Hasa kupata mtu mnayeelewana, mkacheka na kuwa washikaji mkafurahi hata kwa kidogo Allah anachowajalia ni bahati sana siku hizi...
Huyu kweli hajawahi kuolewa huko nyuma akaishia kuchezea ndoa yake?