Vituko mitandaoni. Tupia chako

si hupendi mifupa??
Yule anatako we usinitanie nililiona kabisa na picha ninayo.

Usione kwamba namfukuzia bure bure.

Mpaka nikuombe ujue nina mfahamu fika mwili wake ulivyo bro. Tena kadogo tu 23 bado mbichi sana akifika 30 sasa si atakuwa

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ Zaidi nifanikishie mwanangu na mm nianze kuitwa baby πŸ˜†πŸ‘ΆπŸ€­
 
we jamaa....

picha za watu unazo hadi umri unawajua

shauri yakoπŸ˜‚
 
Allah atujaalie mwisho mwema πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…