Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aisee hawa jamaa wamejipanga, yaani wamepenyeza hela kwenye kila sehemu yenye ushawishi 🙌
Lobbyists katika nchi za wenzetu wanakuwa registered na lazima waseme kama wanafanya kazi kwa maslahi ya nani na kamwe hawapaswi kufanya lobbying kwa mambo yanayokwenda kinyume na interests za nchi zao maana huo ni uhaini.

DP World angeingia mwenyewe mzigoni kwa kununua matangazo kwenye vyombo vya habari na kuelezea ni kwa nini anataka kuchukua hizi bandari na Watanzania watafaidikaje.

Sasa sisi wasanii wetu uchwara ndiyo wamepata mahali pa kutokea hata kama wanachokipigania ni kinyume na interests na hata uhai wa taifa lao. Yaani sisi bado saaaanaaaa!



*******************************
 
So sad 😞

Bora Chifu Mangungo hakujua kusoma wala kuandika, ila hawa wetu wamesoma hadi Masters na PhD lakini ndiyo hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…