Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kidume20, ye34nbe, mtu_wa_mungu

N. Kkkkk. Mods si watu wazuri aseee

Ila ngoja nitulie sasaivi πŸ€•πŸ€•
Aiseee kumbe ni wewe?

ID zako zote zaidi ya 20 mods walizilima life ban?

Kwa kweli itabidi utulie maana ulikuwa bully sana mitandaoni humu bila sababu....

@ye34nbe ilikupatia umaarufu mkubwa kwa kugawa dislikes nayo mods walipita nayo permanently? 😁😁😁
 
Ndiyo mkuu wamelima 8, zimebaki 30 maana nimefungua 4 mpya acha tu asee unajua mpaka ofisini nilifika πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Hali ilikuwa mbaya watu walinisakizia sana ila acha nipoe ntaliamsha dude tena tu, mwakani huko
 
Aah msukuma huzijui njegere? Kwenu hazipo? Watu wengi wanakipenda ila mimi nimeshindwa kabisa
Chakula chako pendwa ni nini?

(Asking for a friend) πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…