Njia SAHIHI ya KUYAZUIA MAANDAMANO ni KUYARUHUSU na KUYALINDA. KUYAPIGA MARUFUKU ni KUVUNJA SHERIA. MAANDAMANO ni HAKI ya WANANCHI zilivyo HAKI NYINGINE za KISHERIA.
Njia SAHIHI ya KUYAZUIA MAANDAMANO ni KUYARUHUSU na KUYALINDA. KUYAPIGA MARUFUKU ni KUVUNJA SHERIA. MAANDAMANO ni HAKI ya WANANCHI zilivyo HAKI NYINGINE za KISHERIA.View attachment 2661000
Watu wanaoweza kuandamana ni watu wa temeke manzese mabibo tandale buguruni
Ila usitegemee pipo ya Kino sinza makumbusho tabata kimara kuikuta kwenye maandamano