Nasreeden Nabi ametua nchini South Africa katika uwanja wa ndege wa Rand Soweto. Eneo ambalo yapo makazi ya Amakhosi [Kaizer chiefs] Team ambayo inatajwa anaenda kufundisha
Baada ya kutua amesikika akisema I am not a big kocha i love my job and i put maximum in my job