*TANZANIA tukiambiwa WOOTE tujifungie NDANI unaweza ONA wote tupo NJE kuangalia kama WATU woote wapo NDANI, naijua NCHI YANGU MIMI"*[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Utaratibu wa kunawa mikono kila mara ili kupambana na corona umeleta janga jipya nyumbani kwangu. Kila nikiwanawisha watoto mikono wanaenda kukaa mezani wakisubiri chakula.
πππππ