Vituko mitandaoni. Tupia chako

Daktari wa kiume alikuwa akimlaza mpenzi wake hospitalini kila anapokuwa zamu ya usiku mke wake alipata taarifa kuwa "mgonjwa" kama huyo amelazwa tena na kuamua kumtembelea hospitali kisha mengine ndiyo hayo unayoyaona [emoji3] [emoji3][emoji3][emoji3]
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Punene punene punene

Mboroo mboroo mboroo

Shida yote hiyo ya nini...!!!???

Vipi wale waliosema utamaliza bucha zote nyama ni ileile...!!??? Basi tuu wanadamu tunapenda hekaheka.....

Tatizo limeanzia kwa aliyemtonya mke wa daktari kuwa kuna mgonjwa spesheli kila daktari anapokuwa naiti shifti.

Anyways ya ngoswe aachiwe ngoswe

It izi wati iti izi....

Ila mi ningekuwa nimeolewa halafu napata taarifa hasbandi yuko mahali redi hendedi wala siendi, ntafanya yangu nnayojua ila siendi kuupukutisha moyo wangu aiseeeh...

Labda sababu sijui uchungu wa mume....🤷‍♀️🤷‍♀️
 
Ila mi ningekuwa nimeolewa halafu napata taarifa hasbandi yuko mahali redi hendedi wala siendi, ntafanya yangu nnayojua ila siendi kuupukutisha moyo wangu aiseeeh...[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda sababu sijui uchungu wa mume....[emoji2368][emoji2368]
Kuna maumivu yake halafu ni makali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…