Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 123, Theresia Nyirakajumba, kutoka Nchini Rwanda, amesema toka azaliwe hajawahi kuguswa na mwanaume yeyote, na sasa yupo na tumaini kuwa atampata mwanaume sahihi na ambaye atakuwa tayari kuwa naye maishani.
Ni kweli kuwa kwa sasa wanawake wenye bikra wanahesabika? Kwanini?
#MamaMia ipo hewani muda huu mpaka saa 6:00 mchana.
#MamaMia #BonyezaLink #EastAfricaRadio
Hui ni ugonjwa sio sifa
View attachment 2646980
Sent using
Jamii Forums mobile app