Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,076
- 4,162
Nitamtafuta tajiri aweke utalii kama huo...I bet kuna wanaume watatamani kuwa mkonga wa Tembo...π π π
Ila huyi Tembo anajua utalii aseeh.....!!!
Dada nae anauthubutu....
Hata kumpanda mgongoni sithuhutu, sembuse nipakatwe na mkonga wake tuu....π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Kuna watu walisema, waacheni wanyama waishi maisha yao.....ππ
Duuuh aiseee
Kama inawainua kiuchumi wananchi ihalalishwe tu ππ