Vituko mitandaoni. Tupia chako

UNAAMBIWA Huyu ndie Mariam Nabatanzi (41) Kutoka Nchini Uganda
ambae anatajwa kuwa ndio Mwanamke mwenye Watoto wengi zaidi kwa sasa Duniani, Mariam mpaka sasa ameshazaa Watoto 44 na Mwanaume mmoja huku akiwa na seti 4 ya mapacha Watatu 3, seti 3 ya mapacha Wanne 4, na seti 6 ya mapacha Wawili 2 na wengine 8

Watoto hao wote 44 alijifungua alipokuwa na umri wa miaka 36 tu, Kwa Mujibu wa Wanasayansi wanasema Mariam Ana maumbile yanayomfanya atoe mayai mengi kwa mzunguko mmoja, Kati ya Hao Watoto 6 Wamefariki!! Na Kwa Sasa Amebakiza watoto 38 ambao wapo hai

Kwa Sasa ni Single Mother Baada ya Mume Wake Kumkimbia Kutokana na Kuwa na Hali hiyo ya Kujifungua watoto wengi Kwa Uzao Mmoja na Kukimbia Majukumu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujumbe mzuri.

Ni wachache wanaoweza kushukuru hasa wakifanikiwa.
 
Well said 👌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…