Vituko mitandaoni. Tupia chako


I bet kuna wanaume watatamani kuwa mkonga wa Tembo...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ila huyi Tembo anajua utalii aseeh.....!!!

Dada nae anauthubutu....

Hata kumpanda mgongoni sithuhutu, sembuse nipakatwe na mkonga wake tuu....πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ

Kuna watu walisema, waacheni wanyama waishi maisha yao.....πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Diamond Platnumz amepost picha hizo za Zari, Mama Dangote, Wema, Tanasha, Mobetto, Queen Darleen, Tiffah na Esma kisha kufunguka kwa kusema

"Happy international Women's Day ya leo Naidedicate kwa hawa Super Women wangu....Wanaake ambao wana Mchango wa kipekee kwenye Maisha yangu...wao walinifanya nikafanya kazi kwa bidii, nikapatia, nikakosea, Nikafurahi, nikalia, nikaonekana Mzuri na wakati mwingine Mbaya...lakini mwisho wa siku yote ilikuwa ni Safari yangu niloandikiwa Duniani ili inifanye kuwa mimi niitwae DIAMOND PLATNUMZ leo....kila Mwanadamu ana Mazuri na Mapungufu yake, jifunze kukubaliana na hilo na uthamni kila aliyegusa Maisha yako kwani hakuja tu kwa Bahati mbaya ni iliandikwa na Mwenyez Mungu ili ikufikishe ulipo.... Mchango wa hawa ni Mkubwa na Ndiomaana Upendo na thamani yao kwangu itabaki milele Moyoni.... Hawa ni Super Women wangu
Happy International Women's day to all the #SUPERWOMEN in the World
" ameandika superstar huyo

Ingawa Wema Sepetu hana undugu nae na hajazaa nae lakini kinachoonekana ni mchango wake mkubwa usioweza kusahaulika kwa Diamond kwa kumuongezea umaarufu na attention ya kazi zake wakati anaanza muziki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…