Ile kesi yetu hatukuimalizaga ujue. Mpaka itakapoisha ndo nitakuondoa kwenye kundi la ukorofi korofi na ukali kali...tena sasa hivi nina data zaidi za kunisaidia katika prizentesheni yangu...utagwaya mbona?
"Sina muda wa kukaa naku-assure kuwa uko peke yako ama la! I have a life to live......
Hiyo kauli ya dharau ilitolewa na pisi moja yenye dharau kwenda kwa boya mmoja aliyekuwa desperate kupata mke wa ndoto zake....tangu hapo mapenzi yao ni mwendo wa kusua sua.....πππ