Vituko mitandaoni. Tupia chako

Daaah aseeee ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ eti mkuu Shimba ya Buyenze unawezaje kumtag mtu kupitia jina la utani kama ulivyonitag mimi hapo juuu mkuu ๐Ÿค”

1. Fanya tag ya kawaida mf. ye34nbe
2. Post reply
3. Edit hiyo post
4. Rudi sasa kwenye jina la mtu uliyemtag na badilisha uandike kitu unachotaka mf. Mimi hapo niliandika SBBW baada ya kufuta ye34nbe
5. Save...kwisha kazi...

Jaribu ulete mrejesho ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

 
Ewaaa ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† asante mkuuu ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌโ˜บ๏ธ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ