Hii juzi kati interview ya Trump pale CNN yule aliyemhoji alitumika kutaka kumharibia alikuwa akimuuliza Trump hardball questions lakini mzee akayapangua yote mission ya CNN ikawa imefeli
Kariakoo imebeba ajira za vijana wengi, tena kwa sasa Kariakoo ina Vijana wengi wasomi waliohitimu Elimu ya juu. Ufinyu wa ajira Uliwafanya wakope Pesa wafungue biashara zao wakajiajiri. Mazingira yao yakiendelea kuwa Magumu litakuwa tatizo. Wasikilizwe na kero zao zitatuliwe.