mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
fanya unitumie hata kalaki dada yangu mpendwa πOngea nae
Asubuhi kanipa 3.5 M na simu ni 3.2 M
Anabakiza chenji
ππ hela ni za Shangazi yako Leniefanya unitumie hata kalaki dada yangu mpendwa π
nyie mnaonekana mna mihela nikirudi arusha itabidi mnifanyie maconnection, maana maisha haya....ππ hela ni za Shangazi yako Lenie
Mimi na Lenie hatukai Arusha πnyie mnaonekana mna mihela nikirudi arusha itabidi mnifanyie maconnection, maana maisha haya....
aisee aisee nimesahau hii ni JF kwanini najihangaisha....πMimi na Lenie hatukai Arusha π
Ukae tu kwa kutulia totoo π€£π€£π€£aisee aisee nimesahau hii ni JF kwanini najihangaisha....π
Nani alimdanganya tunakaa ArushaMimi na Lenie hatukai Arusha π
Nakazia πUkae tu kwa kutulia totoo π€£π€£π€£
Asijizime data kabisa π€£Nakazia π
basi basi msinichangie sasa πAsijizime data kabisa π€£
dubai kuna savannah mimi sio mjinga kiasi hicho etiπ
Ushawahi kufika?dubai kuna savannah mimi sio mjinga kiasi hicho etiπ
nikisema ndio, utaniamini?? πUshawahi kufika?
Lini, na ulienda na naninikisema ndio, utaniamini?? π
mimi ni wa hapahapa bana, kua na amani πLini, na ulienda na nani