Najua mkuu...
Huwa hayanipotezeagi muda kivile...
Sasa imagine wanasayansi juzi hapa wameshuhudia sayari moja ikimezwa na jua. Na wanasema kuwa hata dunia yetu itaishia kumezwa na jua hili litakapoanza kuishiwa Helium na Hydrogen....na kuanza kutanuka....
Ukimsoma Mfalme Sulemani ndiyo unaelewa alimaanisha nini aliposema kuwa mambo yote ni ubatili!