[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Hamna mkuu sio hivyo tukizalisha tunahudumia ila ndoa za kanisani na mikataba humo hatumo aseee
Hatuwapi mimba na kuwakimbia hapana watoto tunalea pia sema ndo hivyo viapo vile vya kanisani tunavikwepa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] in hakimis voice
Ndoa haiepukiki braza 😁😁😁Shimba ya Buyenze mbona dislike tena mkuuuu 😳😳😳😳😁😁😁 eeeh nn shida aseee au ni "kataa ndoa"
Nilitaka nikuongezee dislike nyingine basi tu 😁😁😁Hamna mkuu sio hivyo tukizalisha tunahudumia ila ndoa za kanisani na mikataba humo hatumo aseee
Hatuwapi mimba na kuwakimbia hapana watoto tunalea pia sema ndo hivyo viapo vile vya kanisani tunavikwepa 😁😁😁😁😁😁😁😁 in hakimis voice
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah nimecheka...huu ndio ukweli mchungu
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Nilitaka nikuongezee dislike nyingine basi tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani ndoa ni lazima ufungie kanisani? Kuna za kiserikali. Kuna za kimila....
Hakikisha watoto wako wanalelewa na wazazi wote wawili. Nina miaka 77. Najua ninachokisema!
Vinginevyo huko mbele ni majuto. Kama hutaki kuoa basi nakushauri usizae pia!
Hatumaanishagi wa hivyo 😂😂😂
Wapi hiyoo..
Hatariii..
World's most beautiful woman???