Hamna mkuu sio hivyo tukizalisha tunahudumia ila ndoa za kanisani na mikataba humo hatumo aseee
Hatuwapi mimba na kuwakimbia hapana watoto tunalea pia sema ndo hivyo viapo vile vya kanisani tunavikwepa ππππππππ in hakimis voice