Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,831
Asante sana mkuu...wala hata usijutie mzee wangu, body count kubwa inakuja na risk zake....
[emoji16][emoji16][emoji16] Shimba bwana. Mzima lakini?Asante sana mkuu...
Eti mpaka huwa najilaumu...
Kwamba sikula maisha inavyopaswa!
Kumbe kawaida tu
Mungu ni mwema!
Umwage huo mchele hata PM...
Mimi sijabahatika kufungua njia ya uzima.....siko mjanja kivile nadhani...na body count yangu ni ndogo sana. Na sasa nshazeeka so sitegemei kukutana na hiyo bahati tena!
Ila ego mbili zikipambana ni hatari unaambiwa...tena ukute moja ni ya last born. Mpambano wako hata pambano la heavyweight linakalishwa!
Niko mzima Mkinga.[emoji16][emoji16][emoji16] Shimba bwana. Mzima lakini?