R. Kelly amevunja ukimya na kuamua kupiga show ndani ya gereza
"Hii ni njia ya kunimaliza, lakini hamtoweza kuzima muziki wangu" ni moja ya ujumbe alioutoa katika tamasha hilo lililoungwa mkono na wafungwa wenzake
Ukizumu utaona 90% ya wafungwa wa Marekani ni watu weusi.
Mchungaji Paul Mackenzie Ambaye Aliwashauri Waumini Wa Dhehebu Lake Kufunga Mpaka Kufa Ili Waweze Kufika Mbinguni Siku Ya Jana Ameilalamikia Mahakama Kua Amekua Akinyimwa Chakula Na Baadhi Ya Watu Wake Wamekua Wakipigwa!!