Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kwanini? 🤣🤣 hao si ndio wanatuonyesha kwamba wanapendwa na kupendekeka 🤔
Sema hawakosi kuwa wanafki na wambea😂


Kipengele cha cuzzo kikanikumbusha wewe
hahahaa...!!
Cuzzo kama Cuzzo...!!
Yes, ili ku cope na mabeshte wengi ni lazima uishi maisha ambayo kiukhalisia siyo yako, kwenye haya maisha ukiwa real wachache sana ile mno, ndiyo watakuwa pamoja nawe..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…