Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hawa ndo watalitumia daraja la Zanzibar...View attachment 2606072
Ni mradi wa hovyo utakaoangamiza matrilioni ya hela bila sababu.

Climatologists wanasema within 20-50 yrs sea level itakuwa imepanda sana kiasi kwamba sehemu nyingi pwani na visiwani zitakuwa inundated. Na bado unajenga mdaraja ambao utakuja kuzama majini tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…