Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Mama Kijacho unakoelekea siyo kwenyewe sasa πππ
Una ziblock tu mkuu maisha ni rahisi sana.Kuna wakati tulikuwa tunaenda vizuri kwenye huu uzi ,lakini siku mbili hizi kuna Id sijui zilizotokea ni taabu tupu yaani!
We motoni directly.
Majaribu mengine ni too much. Imagine unaletewa jaribu kama hili. Utachomokaje? π³π³π³
Ndo maana hata yeye anazitafuta kwa kukoroma mimbarini na mipasho yake (siyo Injili) ili watu watoe sadaka?
Hata wakisema tuchangie kuni wameishiwa mi nitapeleka lori tani tano za kuni aisee πππWe motoni directly.
Naona mwamba kama anashusha mzigo πππ
Hata wakisema tuchangie kuni wameishiwa mi nitapeleka lori tani tano za kuni aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna wakati tulikuwa tunaenda vizuri kwenye huu uzi ,lakini siku mbili hizi kuna Id sijui zilizotokea ni taabu tupu yaani!
1. Usijibizane nazoUna ziblock tu mkuu maisha ni rahisi sana.