Mimi ndo nilikuchongea kwa mods
Kuna jukwaa mi kumbe nilishalimwa ban ya maisha bila kutambua wala kuambiwa maana nilishaacha kulitembelea sana. Ila kuna mod mwelewa akanifungulia lakini nikaonywa kuwa nikikosea tu ananila kichwa permanently! Yaani...