Kwaiyo wewe ukipelekewa moto unagawa mali zako sio? Duuh akianani kumbe kuna wabibi mijinga hivyo humu aseeee nimekushusha hadhi kumbe unaweza kuzeeka ukawa mjinga na mpumbavu kama ww oy babu
Shimba ya Buyenze embu mrekebishe kikongwe hicho anatema pumba hapa mtandaoni na uzee wake wote sijui ka lewa au ni nn. 🤔🤔
Laiti mngejua wanawake mnavyochukiana usingeandika huo uozo hapo juu nawaonea huruma watoto na wajukuu zako maana wana mbibi mjinga sana 😖😖😖😖😖 duuuh