hahaha niliwahi fanya hiyo kitu nikaenda kuweka kwenye matendo niliyokuwa nawahibiri nilichokipata nakijua mwenyewe, usiami kila kitu wanachosema hao jamaa
wanagawana karatasi za tests
CR yupo juu ya kimbweta anakuita unanyoosha mkono kuchukua, naona kuna dogo akaamua avuruge utaratibu akapanda na yeye[emoji23]