Hizi ni rangi za kawaida sana na kuzikwepa kuzitumia ni vigumu. Zipo pia kwenye bendera ya nchi nyingi tu.
May be we are just overreacting maana sasa tumefika mahali mtu hata ukiona upinde wa mvua tu - one of the most colorful and peaceful natural event - tunahusisha na ushoga.
We need to calm down