Vituko mitandaoni. Tupia chako

Na Kuna mmoja 2007 aliosha gari na bia pale Hai (bomang'ombe) na kwenda kupiga picha na Ray C kwa sasa nasikia anahitajika kuwekwe kwenye kaya maskini za kupata ruzuku ya TASAF pia kabda ya sabaya kuwekwa ndani nadhani alishakamatwaga kwa kosa la kuuza fedha bandia ila kwa taarifa za hivi karibuni nasikia kashatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…