Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuna siku tu utaingia kwenye anga zangu. Kwani utaenda wapi? Dunia si hii hii na maisha ni haya haya? Tuombe tu uzima [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasubiria kwa hamu hiyo siku na vile ninavyozitamani hizo anga [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…