KUWA MAKINI ANAYECHAPA KADI ZAKO ZA HARUSI
Mchapishaji aliombwa aweke 1Yohana 4:18 kwenye Kadi ya Harusi, lakini alifanya kosa kwa kutojumuisha "1" kabla ya Yohana hivyo akachapisha Yohana 4:18
1Yohana 4:18 inasema "Katika pendo hamna woga, bali pendo lililo kamili hufukuza hofu zote."
Lakini Yohana 4:18 inasema "Kwa maana umekuwa na waume watano hapo awali, na huyu uliye naye sasa si mume wako."
Bado tunamsihi mume kuwa ni kosa la Printer....
Wahala oo