Vituko mitandaoni. Tupia chako

Pole aisee....

Siamini msoto ulioupata
Hiyo ilinikuta mchana kweupee!
Nilikula kibano cha hatari na nilikua sijawahi vuta bangi! Ila baada ya pale nilianza kupuliza maana nilijisikia hasira kupata adhabu kwa kitu ambacho sijafanya hivyo nikashawishika kirahisi kuijaribu ili nijue inakatazwa kwa sababu gani!!? Na hapo ndipo gari ikawaka jumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…