Ana access na gadgets zangu zote. Na baadhi ya picha yeye ndo huwa ananitumia. Hata akiona mzigo huko kitaa anapiga na kunitumia. Tuko washikaji sana aisee. Na hii ndiyo siri mojawapo ya ndoa yenye furaha. Muwe washikaji halafu muaminiane. View attachment 2545580