Huyo kamanda hakuwa na exposure ndo ilikuwa mara yake ya kwanza kwenda ughaibuni labda. Maana karudi tu ni shida! Sasa anashambulia mpaka ugali na Wasukuma tunamwangalia tu πππ
FACT: Waitara anauwezo wa kunywa lita 10 za gongo kwa siku 1, kwa upande wa wabunge wa ukanda wa kusini mwa sahara anashikilia rekodi ya kunywa gongo nyingi kwa siku.View attachment 2542668
Huyo kamanda hakuwa na exposure ndo ilikuwa mara yake ya kwanza kwenda ughaibuni labda. Maana karudi tu ni shida! Sasa anashambulia mpaka ugali na Wasukuma tunamwangalia tu