myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Aisee..Huwa wanamuita eti Big Mike ila ni waongo....
Ni binti tangu utoto wake bana...na siku zile haya mambo ya kujigeuza jinsia sidhani kama yalikuwepo...na anatokea familia masikini tu hivyo hata kama yalikuwepo sidhani kama gharama zake angezimudu.....
View attachment 2535473
🤣🤣Putin wa India
View attachment 2535335
Itakuwa ndio mchezo wao sasa doggy anataka lamba🤣🤣🤣🤣
Mzee ushaliwa
Wabongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh! Niki compare ana ule uzi wa Dark days[emoji3166][emoji849][emoji2962][emoji848][emoji848] inafikirisha sana! Hapa kwa uchunguzi mdogo tu hamna mtu mwenye kesi ya kujibu kweli hapa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]