Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ndo maana wanaletega skendo kua huyu mke wa Obama ni 'mwamba' mwenzake
Huwa wanamuita eti Big Mike ila ni waongo....

Ni binti tangu utoto wake bana...na siku zile haya mambo ya kujigeuza jinsia sidhani kama yalikuwepo...na anatokea familia masikini tu hivyo hata kama yalikuwepo sidhani kama gharama zake angezimudu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…