Wamesema eti ilikuwa ya majaribio. Mkuu wa kiwanja yupo kwenye video akisema ni ajali wamekufa watu 10, mkuu wa Wilaya anasema yalikuwa ni majaribio. Only in Bongo my friend!
Kuna mshikaji yuko huko amesema hizi VPN za kuokoteza hizi za bure zitadunda. Itahitaji mtu uwe na zile sophisticated likely za kulipia...naona wameamua kweli kweli!