Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hivi ni kweli wanaume wanapigwaga shoti....!!!πŸ˜†πŸ˜†

Jamaa ameganda kama sekunde 30 hivi hajielewi....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…


Your browser is not able to display this video.


Ntaijaribu hii siku za usoni, ila nisijekutana na bandidu akanishikilia nisiweze kuamka kuelekea kwenye siti yangu...πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Maana kuna watu hawapitwagi na fursa...πŸ˜„πŸ˜„
 
Nasali uje ujaribishe kwangu...

Ni midege hii ya kwenda Sauzi kama kawaida yako au mabasi ya kwenda Unyamwezini huko Igunga na Nzega? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Hahahah[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…