Vituko mitandaoni. Tupia chako

Milioni kwa siku uhakika [emoji15][emoji15][emoji15]

Wewe utaokoa Watanzania wengi...

Ngoja nijaribu japo [emoji116][emoji116][emoji116]

 
Na ww utapigwa kalenda siku hiyo View attachment 2505700
#KuchapiwaHakuepukiki
#Kuchapiwanisiriyandani

Mwache apeleke mzuka wake huko akagongwe mpaka akili zimkae sawa. Muhimu tu asiniletee magonjwa lakini kamwe sitakaa niwe na presha na mwanamke kama anagongwa nje ama la!
 
We si mzee wewe?
Miaka 70 sperm za kudungisha umetoa wapi?

Congrats in adv

Avatar haijakaa mkao sambamba na jina [emoji23]

Thanks for the congrats...

Mwanaume hata awe 90 kama bado anaweza kupiga bao anaweza akakutungisha mimba...[emoji123][emoji123][emoji123]

Basi nitairudisha ile nyingine japo ilishaganichosha hatari ila nikijaribu kubadili tu nalalamikiwa. We mbona huwa unabadili kila wiki? Not fair!
 
😂😂 najuaga mtu akifika 60s miguu inaishiwa nguvu

Me jina langu fupi, linaokoa hata nikibadili haishtui ama kuona utofauti sana

Sasa we umebadili tu kidunchu nimeona utofauti
 
[emoji23][emoji23] najuaga mtu akifika 60s miguu inaishiwa nguvu

Me jina langu fupi, linaokoa hata nikibadili haishtui ama kuona utofauti sana

Sasa we umebadili tu kidunchu nimeona utofauti
Miguu inaishiwa nguvu? [emoji16][emoji16][emoji16]

Kama system bado inafanya kazi anaweza akazalisha. Sema tu sperms zinakuwa degraded kiasi kwamba possibility ya kupata mtoto mwenye developmental issues (physical or neurological) inaongezeka kidogo.

Avatar basi nitamrudisha tu Idris Alba wenu [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…