Juu ni sehemu ya wanafunzi 484 wa shule ya msingi Butibu iliyopo Ushetu Kahama Shinyanga wakisoma chini ya mti kwa ukosefu wa madarasa.
Chini ni moja ya magari yaliyonunuliwa kwa ajili ya wakuu wa mikoa nchi nzima.Gari moja thamani yake ni milion 500 sawa na idadi ya madarasa 25View attachment 2484275
Sijawahi kuona nchi yo yote watalii wanakwenda na makontena yao. Tena kwenye midege mikubwa ya mizigo. Hii nchi bana. Mtalii aje na mkontena wa nini? Halafu akimaliza kuangalia wanyama huo mkontena anauacha wapi?