Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
We nawe. Kwa nini unaagiza mavyakula ambayo huyajui?Kuna mtu alinitoa dinner
Nikajishaua ule uzungu wa ‘order chochote nakula kasoro sumu.
Mtu akaniuliza ushawahi enda eneo flan? Nikamwambia hapana. Akasema basi twende pale, wana vyakula vya kimataifa.
Tumefika
Nikaagiza glass ya white wine- nilichofaidi 😂
Chakula si ndo yeye sasa, basi akaagiza kitu kinaitwa INJERA, ni Ethiopian food.
Aliisifiaa, nikadhani itakuwa poa.
Mhh ngoma ilikuwa mbaya jamani 🙈 najikaza ila wapi,, ye anafakamia tu.
Nimekoma huo uzungu
Agiza- ni mwendo wa makange nusu tu
Injera. Nikienda Ethiopian restaurant nitaijaribuKuna mtu alinitoa dinner
Nikajishaua ule uzungu wa ‘order chochote nakula kasoro sumu.
Mtu akaniuliza ushawahi enda eneo flan? Nikamwambia hapana. Akasema basi twende pale, wana vyakula vya kimataifa.
Tumefika
Nikaagiza glass ya white wine- nilichofaidi [emoji23]
Chakula si ndo yeye sasa, basi akaagiza kitu kinaitwa INJERA, ni Ethiopian food.
Aliisifiaa, nikadhani itakuwa poa.
Mhh ngoma ilikuwa mbaya jamani [emoji85] najikaza ila wapi,, ye anafakamia tu.
Nimekoma huo uzungu
Agiza- ni mwendo wa makange nusu tu
Injera. Nikienda Ethiopian restaurant nitaijaribu
Katika kupenda na kutamani mambo mapya 😂We nawe. Kwa nini unaagiza mavyakula ambayo huyajui?
Unaagiza unachokipenda halafu hicho kipya unakijaribu bites tu from his plate...na ukikipenda safari nyingine ndo unakiagiza ili kumfurahisha.
Ulipofika home ilibidi ukajipikilishe tena ama? 😁
Kwahiyo tuwe tunaulizaSi mnaambiana bwana. Kuwa this is just a coffee date. Light convo. Just to get to know you a lil bit more...usually ni coffee na light snacks ila mwanaume unaweza kujiongeza ukam-surprise na kakitu kengine akapendako...Nice flowers, expensive chocolates...au hata drink nyingine aipendayo..
Sasa coffee date mtu anaparamia likuku lizima dah! Kama ni mimi hutanisikia tena wallahi! 😁
Mwanaume mstaarabu na mwenye exposure atakuambia kama ni coffee date ama vinginevyo. Coffee date hata uvaaji wake ni tofauti na date ya kweli.Kwahiyo tuwe tunauliza
Ni dinner date or coffee date [emoji1787]
Cc Lenie njoo ukopi ujuzi, ndio usijeonekana food monga
Mbona somo linazidi kuwa pana 🤣Mwanaume mstaarabu na mwenye exposure atakuambia kama ni coffee date ama vinginevyo. Coffee date hata uvaaji wake ni tofauti na date ya kweli.
Kama hajasema kama ni coffee date aisee we agiza hata mbuzi mzima ufaudu.
Usijali dada. Mungu atakufundisha taratibu mbona. Na ili ufikie level ya juu ya mafanikio yatokayo kwake, lazima upite kwenye hili somoSiko humble aisee 😂😂
Usijali dada. Mungu atakufundisha taratibu mbona. Na ili ufikie level ya juu ya mafanikio yatokayo kwake, lazima upite kwenye hili somo
Ndiwooo bageshi wasukuma tuko vizuriBageshi smart sana yule hakuwa na haja ya kufanya huu utopolo. A+ straight tangu chekechea mpaka Uni. Wasukuma siye siyo wa mchezo mchezo 😁😁💪📚📚📚
Nishafeli bila serengeti lite bariidi na kanyama ka mbuzi kakushushia 😬😬😬😬😬Si mnaambiana bwana. Kuwa this is just a coffee date. Light convo. Just to get to know you a lil bit more...usually ni coffee na light snacks ila mwanaume unaweza kujiongeza ukam-surprise na kakitu kengine akapendako...Nice flowers, expensive chocolates...au hata drink nyingine aipendayo..
Sasa coffee date mtu anaparamia likuku lizima dah! Kama ni mimi hutanisikia tena wallahi! 😁
Ni vile tu siwezi kuonyesha
Hadi jina ukalikariri jinsi gani msosi ulikua huzuni kwako😂Kuna mtu alinitoa dinner
Nikajishaua ule uzungu wa ‘order chochote nakula kasoro sumu.
Mtu akaniuliza ushawahi enda eneo flan? Nikamwambia hapana. Akasema basi twende pale, wana vyakula vya kimataifa.
Tumefika
Nikaagiza glass ya white wine- nilichofaidi 😂
Chakula si ndo yeye sasa, basi akaagiza kitu kinaitwa INJERA, ni Ethiopian food.
Aliisifiaa, nikadhani itakuwa poa.
Mhh ngoma ilikuwa mbaya jamani 🙈 najikaza ila wapi,, ye anafakamia tu.
Nimekoma huo uzungu
Agiza- ni mwendo wa makange nusu tu
Msosi ulisifiwa sana na mwenyweji 😂Hadi jina ukalikariri jinsi gani msosi ulikua huzuni kwako😂
Kujaribu menu mpya ni nzuri ila very risky😄