Legend[emoji16]Hakuna yutong hata moja hapo. Zote photoshop tu. Huyo wa kati ni Sanchi ambaye naye hana sifa yo yote ya uYutong labda aongezee kilo 40-50 na apambane sana asiwe sulusuti.
Yutong ni pear-shaped lakini natural....kama hii iliyomfilisi jamaa hapa chini [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2477139
Yani kila nikiingia nakutana na mimama kwa wadada wanajitikisa mitakoBiashara inapodorora matangazo huongezeka
Hiki nini mpaka saizi sijaelewa kabisa
Wafupi watalalamika tu,kama walivyomtuma yule dogo jana mbele ya SamiaIt's not fairView attachment 2476074
Mie najuaga hakuna muuza majeneza aliye na akili timamu,
[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee