Itakua uliangusha, pole. Mwenzako kuna siku nimeingia dukani agiza vitu hela sasa naziona? wacha nidate kumbe kabegi kangu kuna sehemu pamefumuka hela nilizikunja pamoja zikawa zimezama pale palipofumuka zipo kwa ndani humo humo nisijue yaan nilishaanza kulia
kupoteza hela kunauma bora uzitumie kiholela ziishe ujue moja ila sio kupoteza.
Sent using
Jamii Forums mobile app