Dah! Haya maisha haya... Huyu na udikteta wake sikufikiria ipo siku patakua na mwisho wake, tuliteseka sana kwenye mapambano dhidi yake, tulikua tunamuona kama ambaye hawezi akafa. Alipoteza watu wengi sana huyu.