Nimeishi nao. Ni viumbe wapole sana. Ila ni muhimu utambue yupi mwenye sumu na yupi hana. Na uepuke wale wenye shari yaani mkionana tu mbichwa huo keshainua akudonoe. Na uwe na antidote tayari tayari yaani...
Na kama hutaki shari, tafuta kipande cha karatasi kilowanishe na mafuta ya taa halafu kichome moto. Haraka sana utamuona huyoo anatoka nje na kwenda zake