Hey my peoples, it has been a long time ila ashukuriwe Mungu tuko salama.
Heri ya sikukuu ya Krismas kwenu nyote.
Hatujawahi kuonana ila huwa nakaa nawamis sana.
Umaskini sio mzuri aisee.
Siku kuu yote hii mimi ni wakula ugali na mtindi kweli?
Picha sio halisi ila uhalisi ndio nakula muda huu ugali View attachment 2457691