Vituko mitandaoni. Tupia chako

SARAFINA! - Siwelele Mama, hichi kinachoendelea nchini this is best song...Dedication to sisi na wao


Hivi vijana waliopambana kwenye hii struggle ya Sarafina, wacha waigizaji, yaani wale haswa ambao walipitia haya mateso na vipigo vya mbwa, ambao leo ni wazee, kila wakitazama kinachofanywa na viongozi weusi wa leo lazima machozi yanawatoka.
 
Au labda neno kufuja lina maana nyingine apart from embezzlement?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…