Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aisee, kuna upigaji sasa hivi, ni upigaji wa kiwango cha lami. Inawezakana mama hajastukia, au wamemzidi ujanja kinamna.
 
Mikosi ikinielemea nazama kwenye chumvi. Libundi likinililia dirishani natafuta nyuzi za kilozi....kifo nacho kuna nyuzi zake. Yaani mzee Baba umekaba kila kona yaani.
 
Mikosi ikinielemea nazama kwenye chumvi. Libundi likinililia dirishani natafuta nyuzi za kilozi....kifo nacho kuna nyuzi zake. Yaani mzee Baba umekaba kila kona yaani.
 
Hata kama anapiga, anatakiwa awadhibiti wapigaji wengine

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hata kwa maneno tu hawezi kuwakemea sembuse matendo....

Alipaswa kuonyesha ukali hata kama ni wa maneno tu sisi wananzengo tukajua kuwa yuko siriazi. Sasa hizi kauli za mara wale kulingana na urefu wa kamba. Mara wafujaji fujeni tu dah! Inaonekana kama vile kabariki japo naamini sivyo....Washauri na PR wabovu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…